ZIARA YA KATIBU MKUU DKT. JOHN JINGU KATIKA KITUO JUMUIYA CHA MASUALA YA MIRATHI NA MIGOGORO YA NDOA DAR ES SALAAM

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WAMJW Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Inaelezwa kuwa Mkoa wa Dar es Salaam ni miongoni mwa mikoa iliyoghubikwa na mkinzano wa masuala ya kijamii ambapo tangu mwaka 2017 mashauri 7000 ya mirathi na mashauri 2000 ya migogoro ya ndoa yamefunguliwa. Wananchi wa Mkoa wa huu walio katika migogoro